embattle

vt andaa askari kwa vita. ~ed adj (of an army) -liowekwa tayari kwa vita; (fig) -enye kujihami; (of a tower or building) -enye ukuta juu wenye nafasi za kupigia risasi.