embankment

n ukuta/tuta lililojengwa kando ya mtaro, barabara, handaki, mto, n.k. embank vt jengea/fanya tuta kando ya mtaro, barabara, handaki, mto, n.k.