else

adj (with indef or interr pron) 1 (besides) tena, juu ya hayo, zaidi what ~ shall I say? nitasema nini tena (zaidi)? did you see anybody ~ ulimwona mtu mwingine (zaidi)? 2 (otherwise) (or) ~ ama sivyo, au, la sivyo; vinginevyo take care or ~you will fall jihadhari ama sivyo/la sivyo utaanguka he's joking (or) ~ he's mad anatania ama sivyo ni kichaa/mwehu. elsewhere adj penginepo, mahali pengine.