elizabethan

adj -a wakati wa malkia Elizabeth I wa Uingereza. n mtu aliyeishi wakati wa malkia Elizabeth I (k.m. Shakespeare).