elixir

n 1 maandalizi ambamo wanasayansi wa zamani walitaka kubadili chuma kuwa dhahabu. 2 tiba inayoponyesha magonjwa yote ~ of life kioevu cha maisha (ambacho humfanya mtu aishi milele).