elite

n kikundi/tabaka aali la watu wenye uwezo (kipaji au nafasi nzuri katika jamii) an educated ~ mwanazuoni; tabaka la wasomi. elitism n imani kuwa tabaka aali linapaswa kutawala. elitist n,adj.