elide

vt dondosha irabu/silabi katika kutamka k.m. Mungu badala ya Muungu. elision n (from elide) ufupisho wa matamshi ya neno.