eleven

n, adj 1 kumi na moja. 2 timu ya wachezaji/wanachama kumi na mmoja. eleventh adj -a kumi na moja. at the ~th hour dakika za mwisho. elevenses n pl (GB) kitafunio na kinywaji cha asubuhi (mnamo saa tano).