elevate

vt ~ (to) (formal) nyanyua, ongeza, inua; (fig) kuza, adilisha, pandisha ~ the voice ongeza sauti, sema kwa sauti kubwa. ~d railway n reli inayopita juu kwa juu (hewani). elevation n 1 upandaji cheo/hadhi. 2 (height) urefu wa kwenda juu, kipeo, kimo. 3 (hill) kilima, mwinuko. 4 (drawing) picha/ramani ya upande mmoja wa jengo. 5 pembe (mwinuko). elevator n 1 grain elevator ghala ya nafaka. 2 (US) lifti, kambarau. 3 kipandishi.