elephant

n tembo, ndovu. a white ~ n mzigo; mali ya gharama kubwa isiyo na faida/matumizi. elephantiasis n matende. elephantine adj -kubwa mno, -a kama tembo, nzito an ~ine memory kumbukumbu ya kuaminika.