element

n 1 (science) elementi. 2 (according to the ancient philosophers) vitu vya asili: ardhi, hewa, moto, maji. out of one's ~ sio mahali pake. 3 (pl) the ~s nguvu za asili; hali ya hewa. 4 (pl) mwanzo, madokezo ya awali. 5 msingi, sifa ya lazima na muhimu (ya kitu fulani). 6 dalili, ishara there is no ~ of truth in his statements hakuna dalili zozote za ukweli katika maneno yake. 7 (maths) memba; (electric) waya kinzi (wa umeme). elemental adj 1 -a vitu/nguvu ya asili. 2 -enye hisia kali. elementary adj -a asili, -a mwanzo. ~ary colours n rangi za msingi. elementarily adv.