electro
pref (in compounds) -a kuhusu umeme. ~-cardiogram n elektrokardiogramu. ~-chemistry n elektrokemia, kemia ya umeme. ~-dynamics n nguvu za umeme. electromagnet n sumaku umeme. electrometer n elektromita: kipimo cha nguvu umeme. electroplate vt paka/chovya madini (mf. fedha) kwa elektrolisisi. electrocute vt ua kwa umeme. electrocution n. electrode n elektrodi. electrolysis n elektrolisisi: uchanganuaji dutu kwa nguvu za umeme. electron n elektroni. ~ n flow n mtiririko wa elektroni. electronic adj -a elektroni. electronics n sayansi na teknolojia ya elektroni (mf radio, TV). electroscope n elektroskopu. electrotherapy n utabibu wa umeme.