vt 1 chagua kwa kupiga kura. 2 chagua, amua adj -teule. President ~n Rais mteule. the ~n wateule. electionn uchaguzi. by ~ionn uchaguzi mdogo. general ~ionn uchaguzi mkuu ~ion campaign kampeni ya uchaguzi. electioneervi pigia/fanyia kampeni (ili mtu fulani achaguliwe). electioneeringn ufanyaji kampeni. electiveadj 1 -enye uwezo wa kuchagua. 2 nayochaguliwa kwa kupigiwa kura. 3 (US) -a hiari, -a ziada. electorn mpiga kura. electoraladj -a kupiga kura. the ~oralroll/registern rejesta ya orodha ya wapiga kura. electoraten wote wenye sifa ya kupiga kura.