1adj -enye umri mkubwa kuliko; kubwa ~ brother kaka mkubwa. n 1 mzee. the ~sn wazee. 2 mzee wa kanisa. elderlyadj zee, -enye kuzeeka. eldestn 1 mkubwa kabisa kwa umri. 2 eldest childn kifungua mimba.
elder
2n msambuku (mti mdogo unaozaa fuu nyekundu au nyeusi zitumikazo kutengeneza mvinyo).