n kiwiko, kivi. out at ~s (of clothes) tambara; (of a person) aliyevaa matambara up to the ~s in work kuwa na kazi kupindukia. at one's ~ karibu na. vt jisukuma, jiingiza kwa nguvu/mabavu katika kundi la watu; toma, piga kikumbo, jipenyeza. ~-greasen msuguo wa nguvu, kazi ngumu (to) put~-grease into a piece of work fanya kazi kwa nguvu. ~-jointn kiungo cha kiwiko (cha mkono). ~-roomn nafasi a kutosha.