elastic

adj 1 nyumbufu, -a kunyumbulika, -a kunapukia. ~bands n mipira (ya kunyumbulika). 2 -a kubadilika ~ temperament tabia ya kubadilika ~ rules kanuni nyumbufu/za kubadilika. n mpira. elasticity n mnyumbuko. elasticity of demand n mnyumbuko wa mahitaji.