eight

adj nane he is ~ ana miaka minane. have one over the ~ lewa sana n nane. ~teen adj, n kumi na nane. ~teenth adj -a kumi na nane. eightsome n wachezaji wanane. ~ty n themanini. eighties n miaka ya themanini. eightieth adj -a themanini.