egg

egg

1 n yai. a bad ~ n yai viza; (colloq) mtu wa ovyo, mhalifu. assure as ~s is ~s dhahiri, wazi kabisa; bila shaka. in the ~ changa, bado kukua. put all one's ~s in one basket weka matumaini yote katika jambo moja walk on ~s enda kwa uangalifu. teach one's grandmother to suck ~s kufunza sogora jambo alijualo have ~ on one's face onekana mjinga/bwege ~ cup kikombe cha yai. ~ nog n. kileo kilichoongezewa maziwa, yai na viungo yai. ~ white n ute wa yai. ~ yolk n kiini cha yai. ~ shell n kaka la yai. ~ head n (colloq) (usu derog) msomi, mtoa nadharia. ~ plant n mbilinganyi;biringanya. eggwhisk n chapo.

egg

2 vt ~ on sukuma, chochea, himiza.