effusion

n 1 utoaji; utokaji (wa gesi au kioevu); kumwaga; kumwagika, n.k. 2 (derog) maneno mengi yaliyojaa hisia. effuse vt toa (hewa, kioevu, gesi, n.k). effusive adj kunjufu; -ingi wa maneno, (katika kuonyesha upendo, shukurani). effusively adv. effusiveness n.