effort

n 1 bidii, juhudi, jitihada, nguvu make an ~ jitahidi, fanya bidii, tumia nguvu. 2 (colloq) matokeo ya jitihada/nguvu; kitu kilichofanywa kwa jitihada/nguvu that's a good ~ umejitahidi. effortless adj pasipo na haja ya bidii/jitihada/nguvu he is an ~less singer ni mwimbaji stadi (asiyehitaji kufanya bidii).