edit

vt 1 (book, film, etc.) hariri. 2 ongoza/simamia kazi ya uhariri. 3 panga data ili ziingizwe kwenye kompyuta. 4 ~ out ondoa maneno wakati wa kuhariri. edition n toleo. editor n mhariri. editorial adj -a mhariri ~orial staff wahariri n tahariri. editorship n. ~orialise/ize. vt andika tahariri; (often derog) changanya mawazo binafsi na mambo ya kweli.