edge

n 1 (of a weapon) machinjioni, makali. give an ~ to tia makali, noa. set one's teeth on ~ tia meno ganzi; (give offence) udhi. on ~ -a wahaka, -enye kiherehere. take the ~ off something punguza makali; (fig) utamu, furaha, maana. give somebody the ~ of one's tongue karipia vikali. have the ~ on zidi (kidogo). 2 (of a river, rock) ukingo the ~ of a cliff ukingo wa mwamba. 3 (of a cloth) upindo. 4 (of a place) mpaka vt 1 tia makali, noa. 2 (of a cloth) tia upindo. 3 (of a road, etc) tia ukingo/mpaka. 4 penya; penyeza he ~d through the crowd alipenya katikati ya umati wa watu. 5 ~ away toka/jitoa polepole/kwa hadhari ~ one's way into the room jipenyeza pole pole chumbani. ~ out 1 ondosha polepole. 2 shinda/zidi kidogo. edgeways; edgewise adv. upande, ubavuni I could not get a word in ~ways sikuweza kusema hata neno moja. edging n ukingo; (kwa nguo) upindo edging -shears mkasi wa majani. edgy adj -enye wahaka, -enye wasiwasi sana. edgily adv.