ecstasy

n 1 upeo wa hisi (hasa furaha) she was in ~ about her new job amefurahia mno kazi yake mpya. 2 (rel) hali ya roho kuungana na Mungu katika upeo wa kumwombea, n.k.). 3 (frenzy) hali ya kurukwa na akili; kurusha akili; kurukwa na akili. ecstatic adj -liojaa furaha/huzuni. ecstatically adv.