economy

n 1 uwekevu, iktisadi, ukabidhi. 2 uchumi. economic adj 1 -a kiuchumi economic assistance msaada wa kiuchumi. 2 -enye kufidia gharama economic rent kodi yenye kufidia gharama. economics n pl uchumi: sayansi ya uzalishaji, usambazaji na utumiaji bidhaa.