economist

n 1 mtaalam wa uchumi, mchumi. 2 msarifu. economical adj -ekevu, -enye kupunguza gharama, angalifu katika matumizi; kabidhi; (cheap) rahisi. economize vt,vi punguza gharama, sarifu, bana matumizi.