eclipse

n 1 kupatwa mwezi au jua. 2 (fig) kupoteza nguvu/umaarufu, n.k.. vt 1 (of the moon, a planet, etc) patwa; zuia mwanga. 2 (fig) zima; pita kwa mbali sana; fanya wengine waonekane hawana kitu. 3 (of feelings) maliza. ~ ecliptic n njia ya jua adj -a kupatwa jua/mwezi.