echo

n 1 mwangwi. ~ chamber n mahala pa mwangwi. ~ sounding n upimaji masafa kwa mwangwi. ~ sounder n kipima kina/masafa. 2 (likeness) kifano; mtu anayefanana na mwingine. vi,vt ~ something (back) 1 (of places) rudisha mwangwi. 2 -wa mwangwi wa. 3 rudia maneno, n.k. ya wengine.