echelon

n 1 mpango (wa ngazi unaotumika na vikundi vya askari jeshi, ndege za vita, manowari, n.k.). 2 (often pl with sing meaning) ngazi. the upper ~s of the government ngazi za juu za serikali.