eccentric

adj 1 (of person) -a pekee, si -a kawaida. 2 (of circles) sio duara. n 1 mtu wa kipekee. 2 chombo cha kubadilisha mwendo duara uwe mwendo wa kurudi nyuma na kwenda mbele. eccentricity n 1 upekee wa tabia, tabia ya kipekee. 2 kitendo au tabia ya ajabu, isiyo ya kawaida.