east

n the ~ n mashariki, matlai. the Far E~ n Mashariki ya Mbali. the Middle E~ n Mashariki ya Kati adj -a mashariki. E~ End n mtaa wa mashariki ya London wenye magati, (maskani ya wakukni) adv mashariki. eastward/eastbound adj -a kuelekea mashariki ~ ward wind pepo za matlai. easterly adj -a mashariki. ~ erly winds n pepo za matlai. eastern adj -a mashariki (nchi, jimbo, wilaya, tarafa, kata, mji, n.k.). easterner n mtu wa mashariki. easternmost adj -a mashariki kabisa.