ease

n raha, utulivu, amani. at ~ starehe, poa, tuli; kwa utulivu/ starehe; (after pain) faraja. be ill at ~ taharaki, tahayari. be/feel at ~ tabaraki; tabaradi. put at ~ starehesha, poza, tuliza. stand at ~ (as a mil command) mguu upande. take one's ~ tulia, acha kufanya kazi. with ~ bila kuhangaika. vt,vi 1 ~ (of) fariji; (of pain) tuliza, punguza maumivu; (make easy) rahisisha ~ oneself enda chooni ~ down punguza mwendo, legeza mwendo; (make loose) legeza. 2 ~ off/up punguza hali ya wasiwasi; tulia; punguza makali. easefully adv. easefulness n.