early

adj,adv 1 mapema. bright and ~ asubuhi na mapema ~ in life katika ujana, siku za ujana an ~ riser mraukaji ~ fruit matunda ya mlimbuko (to) keep ~ hours wahi kulala na kuamka at the earliest possible moment mapema iwezekanavyo eat an ~-dinner -la chakula cha jioni mapema. 2 (ancient) -a kale, -a zamani. 3 (near the beginning) mwanzo, mwanzoni ~ in the year mwanzoni mwa mwaka. The ~ bird gets/catches the worm (prov) aamkaye mapema huvuna neema. ~days (yet) mapema mno (kusema, kujua). earlier on mwanzoni. ~warning adj -a (kuashiria) mapema.