ear
ear
1 n 1 sikio. be all ~s sikiliza kwa makini/shauku. fall on deaf ~s tosikilizwa, pita kienyeji. feel one's ~s burning hisi/ona mtu anakuteta. give one's ~s (for something/to do) jitoa mhanga, fanya liwezekanalo. go in (at) one ~ and out (at) the other haisikilizwi, haitiwi maanani. have an ~ to the ground tahadhari, kaa macho. (have) a word in somebody's ~ nong'oneza, -pa siri. have/win somebody's ~ sikilizwa, pokelewa vyema. over head and ~s sana over head and ~ in debt daiwa kope (si zako), lemewa madeni. pick up one's ~ sikiliza/ shughulika mara, tega sikio. turn a deaf ~ (to) kataa kusaidia. up to the/one's ~s in (work, etc) shughulika sana; lemewa sana. be wet behind the ~s -wa mshamba. out on one's ~ fukuzwa kazi, timuliwa. earache n maumivu ya sikio. eardrop n 1 dawa ya sikio (ya kutiririsha ndani). eardrum n kiwambo cha sikio. 2 herini, kipuli. earful n karamu ya maneno; karipio. ~ lobe n ndewe. earmark n (of cattle) alama; kipuli; (fig) tabia, mwenendo, kawaida maalumu inayotambulisha. vt tia, wekea alama; (set aside) tenga kwa ajili ya. earpiece n (see earphone). earphone n chombo cha kusikilizia. ~-place n sehemu ya kofia inayofunika masikio. ~-log n kiziba sikio (cha kujikinga na kelele au maji). ear-ring n hereni. earshot n umbali wa kuweza kusikia sauti. ~trumpet n kineli kama tarumbeta kisaidiacho watu wasiosikia vizuri. ~ wax n nta/taka za masikio. 2 uwezo wa kusikia. 3 kitu chenye umbo la sikio (k.m. mkono wa birika, bilauri, n.k.). eared adj -a masikio. long-~ed adj -enye masikio marefu.ear
2 (of corn, etc) n shuke. earl n cheo cha mtu mashuhuri wa Uingereza. ~dom n cheo cha mtu mashuhuri wa heshima wa Uingereza.