dye
vt,vi 1 tia rangi. ~ in the wool/ grain tia rangi (nguo n.k.) ikiwa ingali ghafi (ili ikolee). dyed in the wool adj (fig) kabisa; kamili. 2 remba, tia rangirangi/nakshi. 3 chukua rangi, kolea, pata rangi n 1 rangi, (za nguo). fast ~ n rangi isiyochujuka. 2 kubuhu, makuruhu. a scoundrel of the deepest ~ mhalifu mkubwa mno. dyer n mtiaji rangi nguo, mtia rangi. dyestuff n dawa ya rangi. ~-wood n mtirangi (unatoa rangi). ~-works n kiwanda cha kutia rangi.