dwarf

n kibete, kibushuti. dwarfish adj -liovia, -liodumaa adj -dogo; -fupi (kuliko -a kawaida) vt 1 fanya kuonekana kama kwamba ni -dogo (kwa kupambanua, kwa kulinganisha). 2 (hinder growth) kundaalisha, dumaza.