duty

n 1 wajibu it is my ~ ni wajibu wangu. 2 kuwajibika. ~ call n ziara ya wajibu. 3 zamu. on ~ kuwa kwenye zamu. off ~ kuwa mapumzikoni. (as) in ~ bound kama (ilivyo) ada. do ~ for shikia zamu, tumika badala ya. 4 ~ (on) ushuru; kodi. ~free adj -siolipiwa ushuru. dutiful adj. ~ (to) tiifu, -sikivu; -a kufanya wajibu (ipasavyo). dutifully adv.