dust

dust

1 n 1 vumbi; tifutifu. bite the ~uawa; jeruhiwa; shindwa kabisa. (humbled) in (to) the ~ nyanyaswa, dhalilishwa. shake the ~ off one's feet ondoka kwa ghadhabu au dharau. throw ~ in a person's eyes laghai, danganya mtu. ~ bowl n jangwa (lililotokana na kulima ovyo). ~-coat n vazi la kuzuia vumbi. ~ jacket n ganda (la kitabu) la vumbi also ~-cover; dustpan n kibeleshi (cha kuzolea vumbi/taka). ~ sheet n shuka la kuzuia vumbi (la samani zisizotumika). duststorm n dhoruba ya vumbi. ~-wrapper n see ~-jacket. 2 a ~ kiwingu cha vumbi. what a ~ (fig) vurumai. kick up/make/raise a ~ (sl,fig) fanya fujo/ghasia. 3 (in compounds) dustbin n pipa la taka. 4 pl mabaki ya mwili wa binadamu. ~-cart n gari la (kuchukulia) taka. dustman n mwondoa/mzoa taka (katika mapipa).

dust

2 vt 1 ~ something (down/off) pangusa, futa meza n.k; kung'uta (nguo). 2 nyunyizia kitu kama unga (vumbi, sukari; mchanga, dawa ya unga n.k.). duster n kifutio, dasta, kitambaa cha kufutia vumbi. (fig) ~ a person's jacket piga mtu. dust-up (colloq) mapigano, mzozo. dusty adj 1 -enye mavumbi; -a kama vumbi. 2 -siovutia. 3 (colloq) it's not so ~y siyo vibaya.

dust

3 n debe/pipa la taka.