dumpling

n 1 andazi la kinyunya kilichopikwa kwa mvuke au kuchemshwa lenye nyama au matunda ndani. 2 pudini ya kinyunya iliyookwa yenye matunda ndani.