dump

vt,vi ~ (down) 1 tupa, weka ovyoovyo; tupa (takataka) jalalani; anguka ghafula (kwa kishindo). 2 uza kwa bei nafuu katika nchi nyingine bidhaa zisizotakiwa katika soko la nyumbani ~ goods on the market jaza bidhaa sokoni n 1 jaa la taka, dampo. 2 lundo la taka. 3 ghala (akiba) kubwa (hasa ya zana za vita). 4 (sl) genge, sehemu au mahali pachafu k.m. mji au kijiji. ~ cart; dumper (~ truck) n gari la taka, lori la taka, tipa: gari libebalo na kumwaga mchanga, kokoto n.k.