dumb

adj 1 bubu ~ animal mnyama bubu. strike ~ shitua mtu asiweze kusema, pigwa bumbuazi. ~ show n mchezo wa kibubu. 2 (silent) -a kimya, -a kunyamaa. 3 (US) (colloq) -pumbavu, bozi ~ blonde msichana mrembo mpumbavu. dumbly adv. dumbness n ububu. dumbbell n 1 (of gymnastics) chuma chenye uzito cha mazoezi ya viungo vya mwili. 2 (sl) (US) mjinga. dumbfound/be ~ed vt pigwa na bumbuazi. ~ waiter n 1 meza yenye rafu zinazozunguka itumikayo kugawia chakula. 2 (US; in GB food-lift) kasha lenye vyakula lichukuliwalo kwa kambarau kutoka jikoni hadi chumba cha chakula.