dull

adj 1 (of colour, sound) -liofifia. 2 -a mawingu a ~ day siku ya mawingu ~ weather hali ya mawingu. 3 goigoi a ~ pupil mtoto goigoi. 4 -a kuchusha; -a kuchosha; -siopendeza a ~ play mchezo usiopendeza/furahisha a ~ speech hotuba ya kuchusha. 5 butu, sio kali a ~ knife kisu kibutu a ~ pain maumivu hafifu yasiyo makali. 6 (of trade) -liolala, -siochangamka, -siotoka, iendayo polepole; (of goods) -liododa vt,vi 1 fifisha, chujusha. 2 fanya zito/ goigoi. 3 chukiza, chosha akili. 4 poza, tuliza. 5 fanya butu. 6 tia giza, tia utusiutusi. ~ ness n. dullard n bozi; mzito wa akili.