duel

n 1 (hist) mapigano rasmi ya watu wawili mbele ya mashahidi (agh. ya bastola au panga) kwa madhumuni ya kuamulia ugomvi/kutetea hadhi. 2 mapambano kati ya watu wawili wenye uwezo sawa, wenye kutofau- tiana mawazo/msimamo n.k. duellist; duelist n mpambanaji wa shindano la aina hii.