due

n (sing only) 1 haki, stahili give somebody his ~ mpe mtu sifa/haki yake hata kama humpendi. give the devil his ~ (prov) uwe adili hata kwa mtu mbaya. 2 (tax) (pl) kodi, ushuru, ada adj 1 -a haki, stahili; (befitting) -a kupasa. with ~ respect kwa heshima ipasayo, pamoja na kuheshimu. in ~ time; in ~ course kwa wakati upasao. 2 ~ (to) -a kulipwa the debt ~ to him will be paid today deni lake atalipwa leo. 3 (expected) -tazamiwa; the ship is ~ today meli inatazamiwa kufika leo. 4 ~ to kwa sababu ya, sababishwa na it is ~ to the sun ni kwa sababu ya jua his death was ~ to an accident kifo chake kilisababishwa na ajali adv moja kwa moja, barabara, sawasawa. the ship will sail ~ South meli itasafiri kusini moja kwa moja. duly adv ipasavyo, kwa wakati wake.