ductile

adj 1 (of metal) -a kufulika uzi. 2 (of clay, etc) -a kunyumbuka, -a kufinyangika, -a kunama; -a kinamo ~ clay udongo wa kinamo; (of a person) -enye kuathiriwa/ kutawaliwa/kushawishika kwa urahisi. ductility n.