duck

duck

1 n 1 bata, salili; (white backed) kotwe. a lame ~ n mlemavu; kitu kisicho na faida; shirika lenye matatizo kifedha. play ~s and drakes with ponda mali; -wa mwepesi kuzoea jambo fulani. take to it like a ~ to water jifunza, zoea bila matatizo. like water off ~'s back bila kuleta matokeo yoyote, bila ya hofu, -sio na athari. ~s and drakes n mchezo wa kurusha mawe majini. duckling n mtoto wa bata. an ugly ~ n mtoto mzito (kiakili) ambaye baadaye hubadilika na kuwa na akili sana.

duck

2 vt,vi 1 kwepa. 2 zama/zamisha majini kwa muda mfupi n kuzama; kuzamisha. 2 kukwepa. ducking n. give a ~ing sukumiza majini.

duck

3 n kitambaa kizito cha pamba (kitani).

duck

4 n (sl) kipenzi, muhibu.