dub

vt 1 -pa cheo cha uungwana. 2 -pa jina la utani. 3 paka ngozi mafuta (ili ilainike). 4 (of film) weka/badili sauti nyingine (hasa ya lugha nyingine). 5 nakili. dubbin n mafuta mazito ya kulainishia ngozi.