n 1 ngoma. drumfiren mfululizo wa milio/milipuko ya mizinga vitani. ~ head court-martialn mahakama ya kijeshi wakati wa mapambano. ~ majorn kiongozi wa bendi ya jeshi. ~ stickn mkwiro; (fig) mguu wa kuku/bata. 2 pipa vt,vi 1 piga ngoma, lia/liza/ngoma. 2 ~ (on) lizaliza sauti kama za ngoma k.m. kugongagonga meza, chezesha- chezesha miguu sakafuni. 3 ~ up ita kwa ngoma, piga chando; (fig) fanya kampeni. 4 ~ into sisitizia mtu jambo. 5 ~ out fukuza; tuma (ujumbe) kwa ngoma. drummern mpiga ngoma; (colloq) (US) mfanyabiashara msafiri.