drub

vt piga mfululizo (kwa mkono/ fimbo); (fig) sisitiza jambo, lazimisha mtu akubali/aseme. drubbing n kipigo give a good/sound ~bing piga mtu barabara; shinda sana.