drowse

vt,vi ~ (away/off) sinzia, shikwa na usingizi n lepe la usingizi. drowsy adj -enye kusinzia, -enye lepe, -zito kwa usingizi. drowsily adv. drowsiness n.