drove2 1 kundi (la ng'ombe, kondoo n.k.) linaloswagwa. 2 umati, halaiki. 3 juba; patasi (ya mwashi). drover n mchuuza ng'ombe; mswaga mifugo mnadani/gulioni.